iqna

IQNA

Shirika la Kimataifa la Habari la Qurani
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA) - Katibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amemtaja shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mratibu wa usalama na amani endelevu kupitia mapambano (muqawama).
Habari ID: 3472358    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/10

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, suala la kuwaenzi mashahidi ni jambo la lazima na ni jukumu la kila mtu kwani hivi sasa kuna siasa na harakati za kikhabithi zinazolenga kusahaulisha nembo za Mapinduzi ya Kiislamu hususan utamaduni wa jihadi na kuwa tayari kujitolea kufa shahidi katika njia ya Allah.
Habari ID: 3472308    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/27

TEHRAN (IQNA) - Watu wanaoaminika kuwa wahalifu wazungu wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali ya kibaguzi wameuhujumu msikiti katika mji wa Brisbane, Australia.
Habari ID: 3472125    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umoja, mshikamano na kauli moja ya ulimwengu wa Kiislamu vitazishinda njama za maadui.
Habari ID: 3471752    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/26